Artist: Chiwawa Song: Strike One Year: 2010 Producer: Babz Record Label: Underdawg Production
hawa wasee hawaku-take P2 ndio wanaskia wako na balls...
mafans wa Abbas wako wapi? mi ni fan wa mathree na-break the ice, ka global warming juu huu fala anakaa hawezi bonga ukipata hii ni leakage... Babz on the track
Verse 1 na-take shots at emcees... kama vodka hawajui ku-act na wanataka Oscar ni Chiwawa niko na bone to pick with you uko na balls ka madame wawili hawaku-take P2 kile rafiki saa hii ana-change kuwa adui nilimanga dame yako Abbas na hata sijui unajibamba sana, get off the ecstasy naku-handle ka doorknob ndio msee wa next asi... mi ni mbaya zaidi, mi huingiza fridge baridi mi ni Cassanova buda, mi hushinda high ka Tahidi mi ni best man saa hii bana for real man unatema kama Chiviu mi na-spit like the real gun story ya wife iko made up ndio unakaa clown afadhali u-apologise kabla i-go down down ka dame yako, ama ka skills zako kama bei ya kila kitu bora imetoka Afco
wee Babz nimemaliza huu fala mazee, huskii bana mazee nimebakisha miguu pekee yake nimmalize ama? huu fala na wimala wake boy umependa walami unafaa kuitwa tu Abbas haha, you know what I do all the time, I'm here
skills zangu zina-run through my jeans ka diahorrea kwa hivyo nisipokupata mtoi wangu atakufuata pia nafaa kuwa billionare vile na-coin hizi phrases jina yangu kwa mdomo yako kila saa kama braces niko undisputed bado na-hold title ya kumada ma-rapper kuwaacha holier than the Bible kwa hivyo Jerry B, Andrew, whatever the f**k your name is fikiria mara mbili hii ni mwanzo ya many changes ukiwa f****d up uelewe nani alikuokoa unauma mkono inakulisha ukidhani utatoboa skill yangu ni to die for, watu wako suicidal hata dame yako anajua niko on point kama vinyl niite impasta kama dredi ka spaghetti kidogo ninjoti vile mistari zimestedi usitarajie ntakumaliza, utaambiwa ukiuliza niko so sick buda utakuwa m-sick ukiniskiza
ajab sana yani hii ni ku-smother toddler I'm powdering your ass hivi ndio naku-show mzeiya sleep with this dog, you get the fleas welcome who let the dog out? (Babz on the track, yeah)
na mafans wa Abbas wako wapi? bado nyi ni mafans wa Abbas nini? wee tokeni sana hata mi sikudhania hivo, unajua nani aliwaambia mni-ressurect? wee buda, Babz hii kitu ina-sound familiar yani wee toka sana, Abbas, yeah toka sana, Abbas, what!