Artist: Abbas Kubaff Song: Shotz (Chiwawa Diss Track) Year: 2010
Chorus hii ni sex, up, side your head hii ni sex upside your head Chiwawa mi najua unabonga lakini bila mimi unajua hutasonga
hii ni sex, up, side your head hii ni sex upside your head Chiwawa mi najua unabonga lakini bila mimi unajua hutasonga
Verse 1 O.K,uli strike 1 nika-strike two nika-murder one nikapewa stroke two Abbas si ni bu mi napita na miguu simama mbele yangu cheki vile mi ntado kabiatch ama kabiru karuku naweza badilisha majina kwani utado Abbas nimetua jo na walami wasupuu na wadame wa Kenya ma-model wasupa nikimanga nyama unangoja mifupa ukiniitisha backshish zangu nakupa ka-vulture, una tabia ka ya hongo mi nikiongoza unafuata ka kondoo uppercut poa sura ibaki kombo nakukuta makumbo kweli sio uwongo nina makumbi za kuvunja uti wa mgongo mi ntakukanda bongo kama yule mkongo uwache kuambia magazeti uwongo beef yako ndogo mboga yako ni dondo katoto kalizaliwa mi nikiwa Form Four ntakuchapa design ile ya kina Tompo ki-Mortal Kombat ama life kwa platform first body na una tabia za last born ata ku-fly Mombasa unatumia passport ati juu kuingia ndege unapitia customs ebu wacha kuombaomba fegi kwa bus stop uta-get busted na wasee wa Buzz Cop kutamani dame yangu ni tabia uta-stop wee ni wannabe wa mine so ntakupa mascot iko na sura yangu na kofia ya white socks nikualike home nikutumie transport na mamanzi wawili watatu kama escort
sex, up, side your head wataku-sex upside your head
Jesus haezi ku-save hata ukiwa desktop nimeangusha MCs wengi na one shot mi bad boy tangu zile siku za Top Cop si beef wee ni swine nakukata ka pork chop ku-serve na manjiva hapo kando ya hot sauce mi Guiness ile kubwa wee ni beer Allsops hii wee hujazoea ungei-stir vimoss moss hapa mimi ndio Don baba yangu ni Boscoe ukiniingiza fridge ntakupeleka Moscow kwa box ina ice na mi hu-label for export yes boss, I hope uko tayari ku-face off una-face Freddie Kruger na mikono za Jason flow yako soft so sababu ume-stay soft Phoenix ulinicheki uka-duck uka-take off ka wee ni Schwarzenegger mi ni mnoma kischwaskoff na naku-swastika nikisha-Hitler... ni n****a Chorus hii ni sex, up, side your head hii ni sex upside your head Chiwawa mi najua unabonga lakini bila mimi unajua hutasonga
hii ni sex, up, side your head hii ni sex upside your head Chiwawa mi najua unabonga lakini bila mimi unajua hutasonga
Verse 2 usibonge juu ya extasy na wee mwenyewe hauna balls, hauna testeses si nilifungua door msee wa next a-see yamaanisha unatambua nina master keys must alifungua after begging please n****a please sa niaje una-feel mi naji-feel ka dentist ana teeth disease wee jitahidi uwe higher than six Pilis you best believe niko more than trees naweza act kama Oscar wa Sesame Street ni vile tu chaguo langu mi sitaki awards teeniez, Chiwawa utaacha mioto juu mimi nitakuosha na madawa za viroboto kisha nikukaushe nikuchemshe na maji moto omba msamaha piga magoti kwa makokoto niite mapaparazzi wakuje wote wapige photo mapicha za manzi yangu huko nyumbani ukiponyeto maajabu zitaku-drop kama matatu za Commercial nikikushika si ntaku-murder na ntakuwekelea ponoko